Kama vijana ni taifa la kesho,tusiwadharau leo ili shina la uchungu lisije likamea ndani ndani yao na kutusumbuakesho,hivyo ni vema wenye hatia wakahukumiwa na wasio na hatia wakatolewa magerezani ili kuishi na uhuru wao #KIMENUKA# kutana na @jimmymafufu @jimmymafufu @mzeemajuto @jacksonkabiligi #Suleiman Barafu na wengine wengi...inatoka soon by stepsentertainment